FAHAMU AINA ZA GEJI
FAHAMU ZAIDI NINI MAANA YA GEJI*
geji ni ule unene wa bati kuna aina mbalimbali za geji kama vile 30, 28 , 26 na 24 , jinsi namba ya geji inavyoshuka chini ndiyo unene wa bati unavyoongezeka kwa mfano geji 30 na 28 bati ya geji 28 ina unene zaidi kulinganisha na geji 30 hivyo basi geji 28 ni kubwa zaidi kuliko geji 30
SWALI : JE NI GEJI GANI NZURI
Kuanzia geji 30 , 28 na kuendelea ni nzuri kwa matumizi ya nyumba, maghala na viwanda
Kwa matumizi ya nyumba tunashauri utumie geji 30 au 28 ingawa geji 28 ipo juu(bei ) ukilinganisha na geji 30
Kwa matumizi ya maghala , viwanda , majengo makubwa tunakushauri utumie geji 28 kueze
No comments