🔥🔥🔥OFA OFA OFA PUNGUZO LA BEI IT 5( migongo mipana ) 30G na corrugated ( migongo midogo ) 23500 TSH na 28g 37000 TSH=/🔥🔥


🔥🔥• bati ya kigae ( versatile ) na royal lugoba 30g 37, 000 TSH  na 28g 42,000 TSH🔥🔥


FAHAMU ZAIDI NINI MAANA YA GEJI 

geji ni ule  unene wa bati kuna aina mbalimbali za geji kama vile 30,  28 , 26 na 24 , jinsi namba ya geji inavyoshuka chini ndiyo unene wa bati  unavyoongezeka kwa mfano geji 30 na 28 bati ya geji 28 ina unene zaidi kulinganisha na geji 30 hivyo basi geji 28 ni kubwa zaidi kuliko geji 30


SWALI : JE NI GEJI GANI NZURI 

Kuanzia geji 30 ,  28 na kuendelea ni nzuri kwa matumizi ya nyumba,  maghala na viwanda 


Kwa matumizi ya nyumba tunashauri utumie geji 30 au 28 ingawa geji 28 ipo juu(bei ) ukilinganisha na geji 30 


Kwa matumizi ya maghala , viwanda , majengo makubwa tunakushauri utumie geji 28 kuezekea


● Kwa wateja wa mikoani 


  Utaratibu wetu kama ifuatavyo, 


malipo popote ulipo unaweza kuyafanya kupitia akaunti za ofisini CRDB BANK ndiyo tunayotumia , ukishafanya malipo utatuma bank slip kuonyesha malipo yako kisha tunakuandalia oda yako, vile vile kabla ya malipo unaweza kumtuma mwakilishi wako ndugu au rafiki akafika ofisini kujiridhisha kuangalia utaratibu wote kisha ukafanya hayo malipo yako wewe mwenyewe moja kwa moja au kupitia huyo mwakilishi wako akalipia yeye  na tunakukatia oda yako karibu sana ndugu mteja.


●  tunasafirisha bure mikoa yote nchi nzima ukiweka oda yako utapokea bati zako kwa haraka sana 


tafadhali wasiliana nasi kwa simu 

0763802980 or 0783812628


No comments

Powered by Blogger.